Tuesday, December 6, 2011

Karibu Kwenye Maisha yangu




Ahsante kwa kutaka kunifahamu, kwa sasa mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha zanzibar [State University of Zanzibar],nachukua Bachelor ya Computer science pia najifunza Sound and Video Engineering. March 2012 nitaanza kutengeneza Movie yangu ya kwanza itakayoitwa gemini,mpaka kufikia juni 2012 itakua imekamilika jambo litakalofanya unipende zaidi, hahahahaaa natania!



Muda mwingi nikiwa free napenda kusikiliza music na kuwatch viadeos na movies pia napenda kuedit pictures na videos.Agust mwaka huu nilikua na producer wa B-Unit records, Suma Kopa amenifanya nipende sana kazi za studio................



Napenda sana kufuga Njiwa,sungura na Ngedere kutokana na kwamba wanyama hao ni rafiki sana wa watu hasa unapowazoea...ngedere wangu anaitwa 'cute',ni msichana mrembo...just kidding,ila anapenda usafi na si mkorofi,ana boyfriend anayeitwa 'bonge' anakaa jirani na sisi na ni mkorofi sana hasa anapokua na 'cute'





Nina plan ya kufuga njiwa na sungura tena nitakapomaliza skuli,nimewahi kufuga sungura nikiwa primary na nilikua na furaha sana kuwa nao......napenda maisha ya njiwa na hivyo kujikuta navutiwa kuwafuga,jinsi walivyo wapole na wanavyopendana.....kama Yesu aliwaambia wanafunzi wake,"....kueni wapole kama njiwa lakini wajanja kama njoka" t chao



1 comment: