Monday, July 30, 2012

jiko la kuni

Kwa hali yeyote majiko ya kuni yana matatizo mengi na maja wapo ni afya ya mtumiaji. Moshi wa kuni una mathara kwenye mapafu na macho ya mtumiaji ambaya ni zaidi ya madhara ya kuvuta sigara.